Kunawapenda utalii na wazungu jumla 15 wametembea kwa mguu toka - TopicsExpress



          

Kunawapenda utalii na wazungu jumla 15 wametembea kwa mguu toka arusha to dsm kwa siku 19 na watafika kesho alhamis saa tatu asbh Dsm ubungo mataa oil com shell! Tutapokea pale nakutembea nao kwa mguu hadi mnaz 1 ambapo wazir wa sekta husika atawapokea nakuwapa vyeti Twendeni kwa pamoja kuwapokea na kuwaunga mkono na kila mshiriki atapata tisheti yake Twendeni tutembeee kupinga maliasil za nchi yetu Twende
Posted on: Wed, 11 Sep 2013 16:50:05 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015