Kurefushwa vikwazo vya Marekani dhidi ya Sudan Wizara ya - TopicsExpress



          

Kurefushwa vikwazo vya Marekani dhidi ya Sudan Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Sudan imetoa tamko ikipinga sababu zilizotolewa na Rais wa Marekani za kuongeza muda wa vikwazo dhidi ya Sudan. Tamko hilo limesema kuwa, nchi zote duniani zinapinga kwa kauli moja kuchukuliwa hatua za upande mmoja za kiuchumi dhidi ya nchi nyingine, isipokuwa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel. Aidha Sudan imesema kuwa, vizuizi vinavyowekwa na Marekani ikiwa ni pamoja na vikwazo vya nchi hiyo kwa Sudan vinakwamisha jitihada za kuleta amani nchini humo. Rais Barack Obama wa Marekani hivi karibuni aliliandikia barua Baraza la Congress la nchi hiyo akitaka... kiswahili.irib.ir/uchambuzi/item/35764-kurefushwa-vikwazo-vya-marekani-dhidi-ya-sudan
Posted on: Fri, 01 Nov 2013 15:53:50 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015