Kwa mapokezi ya jana jijini Mwanza, Mheshimiwa umeonesha kuwa wewe - TopicsExpress



          

Kwa mapokezi ya jana jijini Mwanza, Mheshimiwa umeonesha kuwa wewe ni next obama, Jembe la watz(nukuu ya sheikh). Lowasa is our next president, mimi c mwana ccm bt I think I will vote for him kwa maana watz tuna unafiki fulani hv wa kutake advantage. Richmond + dowans+symbion =obama power for Africa. Viini macho tupu mnatafuta majina tu ulaji taking advantage ya wasiofuatilia mambo... I belive Tanzania will make a move with Lowasa kwani hataki upuuzi wala ujinga kazini sio kuchekea watendaji wavivu kama mkuu wangu wa kaya...We were wrong bot you papa!!
Posted on: Fri, 05 Jul 2013 19:24:53 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015