Kwa wapenda muvi: Kama umesoma au umewahi kusikia kitabu cha "Da - TopicsExpress



          

Kwa wapenda muvi: Kama umesoma au umewahi kusikia kitabu cha "Da Vinci Code" na ukakipenda, kuna series inayofanana nacho inaitwa "Zero Hour". Kwenye "Da Vinci Code" stori ni kwamba kuna uzao wa Yesu uko hai mpaka leo, na kanisa la Rumi linawatafuta liwamalize. Kwenye "Zero Hour" stori ni kwamba msalaba alipotundikwa Yesu ulihifadhiwa. Kuna kikundi kinautafuta ili wachukue DNA ya Yesu kutoka kwenye damu iliyobaki kwenye mslaba huo ili wamtengeneze Yesu mwingine kwa utaalamu wa "cloning", na hivyo kutimiza maandiko ya "ujio wa pili". Na kwa mara nyingine kanisa la Rumi linahangaika kuzuia jaribio hilo.
Posted on: Sun, 14 Jul 2013 15:40:16 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015