Kwa wapenzi wa ..MANCHESTER UNITED.. Nimependa hii list kama vipi - TopicsExpress



          

Kwa wapenzi wa ..MANCHESTER UNITED.. Nimependa hii list kama vipi jaza namba zako mi zakwangu hiziapa. 1. Goalkeeper: David De Gea. 2. Right-Back: Rafael. 3. Centre-Back:. Rio Ferdinand. 4. Centre-Back:. Nemanja Vidic. 5. Left-Back:. Leighton Baines. 6. Right-Wing:. Antonio Valencia. 7. Centre-Midfielder:. Michael Carrick. Eti 8. Centre-Midfielder:. Marounne Fellaini. 9. Left-Wing:. Christiano Ronaldo. 10. Sriker:. Robert Lewandowsk. 11. Striker:. Robin Van Parsie. List hiii imetoka kabla Sir Allex Fagason ajaaga Rasmi ndio alitaka iwee. Jee David Moyes amejipanga vipi? Embu nipe yako apo. Nani atoke na nani abaki. 1. Goalkeeper. 2. Right-back. 3. Centre-back. 4. Centre-back. 5. Left-back. 6. Right-wing. 7. Centre-midfielder. 8. Centre-midfielder. 9. Left-wing. 10. Striker. 11. Striker. Weka wakwako kwanza 2one.
Posted on: Fri, 21 Jun 2013 07:26:59 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015