Kweli akili ni Nywele. Nimesikiliza hoja za Yanga kupinga AZAM TV - TopicsExpress



          

Kweli akili ni Nywele. Nimesikiliza hoja za Yanga kupinga AZAM TV najikuta nacheka mpaka mbavu zaniuma. Eti Yanga watahujumiwa wana kikosi kizuri. Halafu wanaogopa AZAM TV inaweza kuwa na matangazo ya pombe hivyo kwenda kinyume na udhamini wao TBL. ....aggggrrrrrrr hahahahahah! NDUGU ZANGU WATANZANIA; Kuhama mifumo mibovu iliyozoeleka inahitaji kujitoa mhanga, lazima rabsha zitokee, lakini mfumo mpya unakupa mizizi mipya yenye ubora. SHAURI YENU YANGA. KARIBU SANA AZAM MEDIA. KARIBU SANA AZAM TV.
Posted on: Tue, 30 Jul 2013 12:15:53 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015