LIFE QUOTEZ.. 1.hata simba na ukali wake utiwa mimba....kuwa - TopicsExpress



          

LIFE QUOTEZ.. 1.hata simba na ukali wake utiwa mimba....kuwa mpole! 2.hata huwe maskini au tajiri...kuzeeka nlazma! 3.hata upande chopper au rangerover chooni tutaenda kwa miguu sote! 4.hata huwe na shamba kubwa namna gani....kaburi ni 6 feet! 5.hata uitwe mheshimiwa miaka yote ukifa jina ni marehemu sisi wote! 6.hata uwe mwizi namna gani...huwezi ukaiba wakati 7.hata ule kuku na mwenzako ale githeri chooni tofauti ni rangi na kilo... Hehe, jst wishn u a happy nyt.
Posted on: Sat, 31 Aug 2013 18:32:13 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015