LMAOOO! *realtime conversation between me and ImperialDj - TopicsExpress



          

LMAOOO! *realtime conversation between me and ImperialDj Elonn* Him: Boss si we ni mkikuyu? Me: Eeeeh. Him: Natafuta ngoma flani ya Kikuyu Me: Ngoma gani? Him: Inaitwa "Noe sumu" Me: *laughs* HAkuna ngoma inaitwa hivyo. I mean, nishawahi skia ngoma ka hiyo lakini sijui vile inaimbwa. Ebu Imba kidogo nione ka naeza ikumbuka jina. Him: Weeeh!! Sawa... That aint the name...Hii ndio nilishika.."Nooeee...noe sumu *Beats(TI NDI!!)..something like that *tears*
Posted on: Thu, 01 Aug 2013 11:04:46 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015