Ladies,leo nimeamua kuwaambia ukweli juu hii sio kuwaanika ama - TopicsExpress



          

Ladies,leo nimeamua kuwaambia ukweli juu hii sio kuwaanika ama kuwatusi,,Take it or leave it!!! Ladies ringeni kabisa while you are still 18-25... Jiskie shuge yaani hot cake, jiekee criteria haziko ati the man you want, ati ooh!Tall, dark, handsome, must be driving, living in lofty suburbs and must be pooping silvery edible pupuu!Paint yourselves all over till you look like spotted hyenas,jiekee izo earings na metallic bangles hadi ukipita karibu na magnet unavutwa all in the name of looking appealing. Tusi kila mwanaume akijaribu kukukatia.But ukifika over 25 and realize you are outgrowing relationships and umebeat kama belt ya Museveni na uko outdated kama tactics za Wenger ndo uanze kupost hapa ati I need a man... Nkt ringa, rombosa,kimbilia those niggaz you want na wakikutupa usituangukie pliz .
Posted on: Thu, 02 Oct 2014 08:21:27 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015