Leo hakuna gazeti... Mimi ndio niko na news. Nimepita pare Jogoo - TopicsExpress



          

Leo hakuna gazeti... Mimi ndio niko na news. Nimepita pare Jogoo Rd, kwa flat za ruto, kuna mwizi sugu. Asha angusha askari wawiri. Alikuwa ametoreo mbio kutoka sijui wapi. Kufika kwa flats za ruto, akaingia mpaka top floor kwa nyumba haikuwa imefungwo. Sasa, na huyo mwizi ni sharp shooter, ameachilia kadhaa, ikapata officers wawili eti. Sasa more officers wamekuja, na wanangoja amalize magazine yake, mwaingie wamfanye customer ya City Mortuary. Hio ni rumors lakini, personally sijaona mwizi na sijaona askari chini, lakini kirindi imejaa hapo. mimi nimereport vile nimeskia. Like · · Share
Posted on: Tue, 01 Oct 2013 06:50:16 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015