MAALUMU MAALUMU - TopicsExpress



          

MAALUMU MAALUMU MAALUMU. .................................................................... Baada Ya Serikali Kutangaza ama Kuweka Sheria ili Kila mtumiaji Wa Line Za simu ailipie Kila siku Tsh 30/= ambayo Kwa mwezi ni Tsh 1000/= Kwa Kila LINE. Wananchi tumepiga kelele Sana yaan tunasema Sisi Wananchi Hali yetu ni Ngumu hatuwezi Kulipa hyo 1000/=. Na juzi MH Rais Jakaya Kikwete ameongea Na Wahusika Wa mitandao na Kuwaambia Vyovyote vile yaan hiwe hisiwe Lazima hiyo Bilioni 178 ipatatikane Kwa maana Serikali ishafanya bajeti tayari. Cha Kusikitisha Sisi Wananchi tunalalamika sana Na Wanasiasa nao Wameingilia hili swala. Ila cha Kujiuliza Katika hii Mitandao sisi tunakatwa Shilingi ngapi Kwa Siku ? Ni hudumu ngapi sisi tunazilipia tEna zile za Kuhumiza zaidi. Angalia jinsi tunavyokatwa PESA nyingi then tunakuja kulalamika hii Buku. Katika mitandao Kuna RIBA, Unakatwa asilimia 10 ukiamisha salio, unakatwa pesa kama Ukiangalia salio la account ya fedha, kuna hudumu hizi za miito ya Simu kwa siku Tsh 40, Tunanunua Vifurushi vya IntErnet. Na hizo hudumu Ni kila siku tunazitumia Cha ajabu hizo Hatuongei Eti tunakuja Kuongea hili Suala la Kodi Ya Buku. Hivi sisi tupo timamu kweel ? Na wana siasa Wanajifanya wanatetea ilimradi tu Wajikoshe na Hawana Lolote. Yaan Wananchi Wa TANZANIA TUNACHEZEWA KAMA MPIRA. NB: NIKIWA KAMA M-TANZANIA NIMEJARIBU KUONGEA TU NA KUTOA MAONI JUU YA KERO HIYO.
Posted on: Fri, 26 Jul 2013 19:40:48 +0000

Trending Topics



:30px;">
I think I laced my boots up and put my Air Force uniform on for
Good morning ladies! If you are part of Fort Hood WoW /SfS, CW4
ITS OFFICIAL..... MR EASY IS COMING TO DUBLIN SAT 29th NOV at

Recently Viewed Topics




© 2015