MAJASIRI WATATU DUNIANI NILIOWASHUHUDIA MIMI - TopicsExpress



          

MAJASIRI WATATU DUNIANI NILIOWASHUHUDIA MIMI HAPA -------------------------------------- __Siku zote ujasiri unafanywa na Jasiri, Kama ww unataka kufanya kitu then unapata hofu ww basi sio jasiri. __Jamaa mmoja anaeitwa ABUU alikuwa jasiri pale alipomuona mtu anaempenda sana duniani __Anaemuangalia Kwenye Video sasa alipomuona LIVE akaamua kuwa jasiri na Kwenda Kumkumbatia. __Hakujali mtu yule maarufu duniani na Uwanjani palikuwa na Ulinzi wa Uhakika Lakini jamaa akatumia ujasiri wake na Kuwatambuka Maaskari na Kwenda Kumkumbatia RICARDO KAKA mwaka 2010 Katika mechi ya kirafiki Kati Ya Brazil Na Tanzania. __Jasiri mwengine huyu hapa. George W Bush alitembelea Nchi za Iraq ama Pakistani, kule alifanya mkutano. ___Mwandishi mmoja wa Habari alisimama bila kujali Kama Kuna FBI ila yeye alikuwa jasiri na akamua kumtupia Viatu Bush baada kuona Bush anaongea matapishi. __Jasiri mwengine huyu hapa. Zitto Kabwe pale alipomwambia Waziri mkuu Mizengo pinda kuwa Anajibu maswali kama mlevi ama watu wapo Kijiweni. __Zitto aliambiwa atoke nje ya Bunge na Hakutoka na aliambiwa akae chini na hakukaa. HAWA NI MAJASIRI HAIJALISHI NINI WALIFANYA ILA WAMEWAKILISHA UJASIRI WAO. NIMEPENDA UJASIRI WAO
Posted on: Fri, 28 Jun 2013 17:22:02 +0000

Trending Topics



ss="stbody" style="min-height:30px;">
DAILY HOPE: God Frees Us Through His Word by Rick Warren

Recently Viewed Topics




© 2015