MAREKANI KAMA TANZANIA? Mtoto wa Makamo wa Rais wa Marekani Dick - TopicsExpress



          

MAREKANI KAMA TANZANIA? Mtoto wa Makamo wa Rais wa Marekani Dick Cheney, Liz Cheney (46) atangaza kuwania kiti cha Seneta wa Wyoming mwakani. Liz ambaye ameolewa na ana watoto watano atapambana na Seneta aliye madarakani, Mike Enzi. Baba na mtoto huyo wameripotiwa kuandaa kitabu pia. Nchini Tanzania si haba kusikia malalamiko dhidi ya ndugu wa viongozi mashuhuri wanaotangaza na kushika nafasi katika medani ya siasa. Hapo vipi waumgwana?
Posted on: Wed, 17 Jul 2013 16:06:52 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015