MARRIAGE BILL NAYO... TAABU.... 1. Simu yagu ni yako. Na simu yako - TopicsExpress



          

MARRIAGE BILL NAYO... TAABU.... 1. Simu yagu ni yako. Na simu yako ni yagu. Hakuna cha ati "dont tash my phone" . Actually,kira Wednesday tutakuwo tukibadirishana Sim Card. 2. Abia ma EX wako wote wakae bari na wewe. As far as possible. Kwanza wakiweza wahamie Meru. Kama hawataki kuchomwo kama mahindi. Na uwaabie wasiwahi kukutext. Kitu chochote. Ama wakati wowote. Ati kukuabia Gdnyt. Mimi dio nafaa kudecide the kind of night you will have. 3. Ukioba,lazima uobe kwa sauti. Sio ati ujifiche kwa kakona ati unaoba kimoyomoyo,razima niskie kire unaabia Mungu. Ama rabda unamwabia aniodoe kwa maisha yako. 4. Ukichidwo, kubuka b4 twede kwa serikali, mi ni MuNyere!! (Yaani from Nyeri)
Posted on: Wed, 17 Jul 2013 09:35:45 +0000

Trending Topics



div>

Recently Viewed Topics




© 2015