MECHI MOROCCO v TANZANIA, FIFA YAFUNGIA MCHEZAJI KWA KUTUMIA - TopicsExpress



          

MECHI MOROCCO v TANZANIA, FIFA YAFUNGIA MCHEZAJI KWA KUTUMIA MADAWA!! >>LEO MCHEZAJI HUYO ASIMAMISHWA SIKU 3O HUKU KESI IKIANZA!! >>KANUNI ZAFUNGA MCHEZAJI HUYO KUTAJWA!!! MWENYEKITI wa Kamati ya Nidhamu ya FIFA leo amemsimamisha Mchezaji aliecheza Mechi ya Juni 8 Mwaka huu iliyochezwa huko Grande Stade, Marrakech, Nchini Morocco kuwania kufuzu kucheza Fainali za Kombe la Dunia za huko Brazil Mwaka 2014 kati ya Morocco na Tanzania baada ya kugundulika akitumia Madawa yasiyoruhusiwa. SOMA ZAIDI: sokainbongo/dimbani-afrika/5715-mechi-morocco-v-tanzania-fifa-yafungia-mchezaji-kwa-kutumia-madawa
Posted on: Wed, 28 Aug 2013 17:36:46 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015