METRO FM MAIN NEWS SAA 2:30 USIKU....... Halmashauri ya jiji la - TopicsExpress



          

METRO FM MAIN NEWS SAA 2:30 USIKU....... Halmashauri ya jiji la Dar es salaam imesema inajenga vituo vikubwa vitatu vya mabasi yaendayo mikoani ambavyo vitakuwa mbadala ya kituo kikuu cha mabasi ubungo UBT ambacho kinavunjwa na kuwa kituo cha mabasi yaendayo kasi. Afisa kilimo wa wilaya ya Ilemela Mkoani Mwanza amefariki dunia papo hapo baada ya kugongwa na gari wakati akiendesha piki piki yake katika eneo la Buswelu jijini Mwanza Waziri wa Ulinzi wa Sudan amesema kuwa, hali ya usalama na amani katika mipaka ya nchi hiyo na Chad na Jamhuri ya Afrika ya Kati ni ya kuridhisha. Na Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amesema kuwa, kikosi cha UN kilichoko nchini humo kimeazimia kupambana na makundi ya waasi mashariki mwa nchi hiyo. Habari kamili………………………..
Posted on: Wed, 21 Aug 2013 15:39:57 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015