MICHEZO NA PASSION FM ,,,leo juni 21 2013,,,kuanzia saa mbili - TopicsExpress



          

MICHEZO NA PASSION FM ,,,leo juni 21 2013,,,kuanzia saa mbili unusu hadi tatu usiku,,,,HAPA PASSION FM,,,,,Kwa ufupi kati ya yale utakayosikia ni pamoja na,,,,,,KOCHA WA STARS KIM POLSEN aita kikosi kitakachoingia kambini kujiwinda na UGANDA katika michuano ya CHAN,,,kumbuka stars itashuka bila ya samatha na ulimwengu,,, HUKO SIMBA UONGOZI WAAMUA KUEPUSHA MANENO WATANGAZA KUMALIZANA NA MFARANSA PATRIC LIWENG,,WAMPATIA CHAKE BABU SASA RUKSA KUONDOKA,,,, RUVUSHOOTING YA PWANI YAKUBALI KULA MATAPISHI YAKE,,,yatangaza kumrudisha kundini JUMA SEIFU KIJIKO WA YANGA,,, KIMATAIFA,,,,,MICHUANO YA MABARA SPAIN WAFANYA MAUAJI YA KUTISHA WAIBINYA TAHITI BAO 10-0,,,,,kweli mpira kama baiskeli ukijua ndo umejua,,,haya poleni Nigeria kwa kipigo cha mbili moja,,,,,, kutana na wanamichezo wako wa passion fm,,Ben mwanantala,,,Juma idd na Hilal sadala,,,,,
Posted on: Fri, 21 Jun 2013 15:56:52 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015