MNAKARIBISHWA JUMAMOSI YA TAREHE 31/8/2013...TUUNGANE PAMOJA - TopicsExpress



          

MNAKARIBISHWA JUMAMOSI YA TAREHE 31/8/2013...TUUNGANE PAMOJA KATIKA TUKIO LA KUPANDA MLIMA MBEYA....LENGO KUBWA LIKIWA NI KUUTANGAZA UTALII WA MBEYA!!....LITAKUA NI TUKIO MUHIMU SANA LILILOANDALIWA NA KAMPUNI YA WISE & MERCY YA HAPA MJINI MBEYA...HUU NI MWANZO WA SAFARI NYINGI ZAIDI ZENYE KUTUJUZA UZURI WA MKOA HUU NA TANZANIA KWA UJUMLA!! SOTE TUTACHANGIA HUDUMA YA KWANZA NA DHARURA NYINGINE INAYOWEZA KUJITOKEZA (Tsh. 1,000 TU.) NYOTE MNAKARIBISHWA!! KAMATI YA MAANDALIZI
Posted on: Thu, 22 Aug 2013 11:52:59 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015