MOVIES AMBAZO NILIWAHI TAZAMA NA HADI LEO NIKITAZAMA LAZIMA - TopicsExpress



          

MOVIES AMBAZO NILIWAHI TAZAMA NA HADI LEO NIKITAZAMA LAZIMA ZINITOE MACHOZI YAANI SIJAWAHI KUZIZOEA HATA KIDOGO NA ZINANIGUSA SAAANA!! 1. NERIA Ile sehemu ambayo NERIA YULE MAMA amerudi nyumbani kwake baada ya mume wake kufariki, then anakuta nyumba imebadilika hadi vitasa vimebadilisha na akashindwa kuingia ndani!!! 2. ANDHAA KANOON Ile sehemu ambayo mtoto wa AMITABACHAN ameenda na mama ake kumtazama AMITA gerezani aaaf mtoto akaanza kuimba ROTE(sad) maana kuna ROTE ROTE(sad) na ROTE ROTE(happy) sasa pale akaimba ile SAD!! Na pia wakati AMITA anamzika mtoto wake huku anamuwekea CHOCOLATE azikwe nayo maana alikuwa anapenda sana!! 3. HOTEL RWANDA!! Ile sehemu ambayo PAUL RUSESABAGINA kitu kama ameshaipakiza familia yake yote kwenye malori yale ya msaada aaf nyuma kuna nyomi lake linalomuomba lisepe naye, aaaf huku familia inahitaji nayeye asepe!! akaiacha familia yeye akabaki na watu wake!!! 4. 24 SERIES Ile sehemu ambayo JACK BAUER ametolewa china kwa amri ya mr president(wayne palmer - if am nt mistaken) ifanyike exchange pale, maana ilitoka order kwa FAYED/ASSAD kuwa ili nistop hizi ambush ambush za kulipua leo bus kesho treni basi nipeni milioni kadhaa aaf nipeni na jack bauer!! so jack anatua ili awe sacrifcd kwa nchi yake tu!! kitu kama season ya 6 hivi hii!! 5. SOME TIME IN APRIL Hii kwakweli kila sehemu tu inanigusaga!! pale wanafunzi walipovamiwa na wakasema WE STAYIN TOGETHER wahutu na watutsi wote!! au pale jamaa alipopewa MACHETE na kutakiwa AMKILL yule mjamaa.......
Posted on: Wed, 31 Jul 2013 10:20:54 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015