MSANII OMMY DIMPOZ APIGWA MAWE JUKWAA@#Live kutoka hapa - TopicsExpress



          

MSANII OMMY DIMPOZ APIGWA MAWE JUKWAA@#Live kutoka hapa dodoma wenye KILI TOUR inayojumuisha wasanii kadhaa wa bongo. Msanii Ommy Dimpoz amejikuta katika hali ngumu ya kimziki baada ya kupanda jukwaani na kukutana na mvua ya mawe na chupa kutoka kwa mashabiki wa Marehemu Albert mangwea. Ikumbukwe O.Dimpoz amekwaa kashfa ya kumtusi Marehemu Albert Mangwea. Mangwea katika maisha yake dodoma ndio sehemu aliyoitangaza sana kama eneo lililomtoa kimziki. OMMY dimpoz alilazimika kukimbia jukwaa kujiokoa
Posted on: Sat, 22 Jun 2013 17:30:08 +0000

Trending Topics



-el-gasto-pero-los-goles-topic-520519031357610">Sebastián Abreu: "Rosario Central hizo el gasto pero los goles
5549271234567802 The Card Number You Have Entered

Recently Viewed Topics




© 2015