MUALIKO WA FUTARI YA PAMOJA. Umoja wa wanafunzi wa burundi - TopicsExpress



          

MUALIKO WA FUTARI YA PAMOJA. Umoja wa wanafunzi wa burundi waishio Misri,wanapenda kuawalika wanafunzi na warundi wote ambao waishio Misri, kuhudhuri katika futari ya pamoja iliyoandaliwa na umoja huo. Futari hiyo inatarajiwa kufanyika katika eneo la Maadi Swaqar Kuraishi, siku ya jumamosi ya tarehe 27/7/2013 sawa na tarehe 18 ramadhani mwaka 1434. Mgeni rasmi katika futari hiyo ya pamoja atakua Balozi wa Burundi nchini Misri, Alhajji Sulemani Mushi, pia Rais wa Markazi ndugu Ally Said Mwinyihindi atakuwepo katika futari hiyo kama muwakilishi wa taifa la Tanzania. Taarifa imetolewa na Mshauri wa umoja wa wanafunzi wa Burundi nchini Misri, Sheikh Hussein El Pipita.
Posted on: Mon, 22 Jul 2013 21:18:09 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015