MWANAMKE WA KISLAMU...... anahifadhi wakati wake usipotee bure, na - TopicsExpress



          

MWANAMKE WA KISLAMU...... anahifadhi wakati wake usipotee bure, na mchana wake na usiku wake usije ukachanika ovyo, basi yeye ni mwenye kujitenga na kusengenya (kuteta), Ulimi mrefu, sauti refu, matusi, dharau, kujisahau ovyo, kupumbazika na mavutio ya kinafsi, amesema Allah mtukufu: ((Na waache wale ambao wamefanya Dini yao kuwa ni Michezo na Mapumbazo ya kinafsi, na yakawadanganya maisha ya kidunia, na wewe kumbusha kwa hilo, isije ikaangamizwa nafsi kwa yale iliyochuma, nayo haina asiyekuwa Allah kipenzi wala muombezi, na hata ikitolewa kila fidia haitokubaliwa kwake, hao ndio walioangamizwa kwa sababu ya yale waliyochuma, watapata wao kinywaji cha maji yenye kuchemka mno na adhabu yenye kuumiza kwa walivyokuwa wakikifuru)) [An-aam 70] na amesema Allah mtukufu kwa kuwazungumzia wale waliopoteza Maisha yao ya kuwa watajuta huku wakisema ((Ee,, OLE wetu kwa tulivyopuuza! Na wao watabeba mizigo yao juu ya migongo yao, Ee,, ifahamike kuwa ni maovu mno hayo wanayoyabeba)) [An-aam 31].
Posted on: Sun, 01 Dec 2013 16:38:58 +0000

Trending Topics



px;">
These cowgirl fans are a trip talkin bout they didnt get away with
youtube/watch?v=A4duZjxusGM Lyrics: All alone now Except

Recently Viewed Topics




© 2015