Madereva wa tuktuk hapa mjini Mombasa wana kila sababu ya - TopicsExpress



          

Madereva wa tuktuk hapa mjini Mombasa wana kila sababu ya kutabasamu baada ya serikali ya kaunti hii kuwafunguliwa afisi yao na kutengewa sehemu mpya za kuegesha tuktuk zao. Akiongea na wahudumu wa tuktuk katika afisi yake katibu wa uchukuzi na miundo mbinu kaunti ya Mombasa Mohammed Abbas ameeleza kuwa afisi hiyo itawasaidia pakubwa kuedesha shughuli zao kama madereva hapa mjini. Wakati huo huo mwenyekiti wa chama cha wenye tuktuk hapa mjini Ali Mohammed amesema kuwa afisi hiyo itawasaidia kudumisha nidhamu barabarani kwa madereva hao ikiwemo pia kuajiri madereva wapya.#habarimotomoto ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Posted on: Thu, 19 Sep 2013 09:52:46 +0000

Trending Topics




© 2015