Mahakama kuu ya humu nchini imewaagiza ,maafisa wa polisi - TopicsExpress



          

Mahakama kuu ya humu nchini imewaagiza ,maafisa wa polisi kutomkamata wakili Kethi Kilonzo kwa siku kumi na nae ziojazo. Akitoa agizo kufuatia kesi iliyowasilishwa na kethi katika mahakama hayo, jaji Lydia Achode amesema kesi inayaomkabnili Kethi ya wizi wa stakabadhi za tume huru ya uchaguzi na mipka nchini IEBC za kujisajili kama mpiga kura itasikilizwa tarehe ishirini na tisa mwezi huU. Hii ni baada ya wakili wa Kethi Harun Ndubi kuelekea mahakamani kutaka mahakama kuzuia polisi kumkamata mteja wake
Posted on: Thu, 15 Aug 2013 08:33:57 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015