Maisha hayana zoezi, kwa hivyo kila asubui unapoamka mzima ndio - TopicsExpress



          

Maisha hayana zoezi, kwa hivyo kila asubui unapoamka mzima ndio kuishi waishi basi shukuru Mola wako. Tukizingatia kwamba uhalifu na ukorofi haulipi, ni vizuri kutangamana na kuishi na wenzako kwa uelewano,upendo na amani ambavyo ndivyo viungo muhimu vya kuleta maendeleo katika jamii. Lakini ukiwa mtu wa fujo ,kokoro,matusi na majivuno itakuwa ni vigumu kupokelewa na kukubalika na wenzako hata familia yako.Labda kuwe na sherehe fulani ndio ukaribishwe, tena kila mmoja akiwa chonjo, maana MWANA MKAIDI HAFAIDI HADI SIKU YA IDI.
Posted on: Mon, 16 Sep 2013 08:42:28 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015