Mama: Mwanangu hebu mpigie simu baba yako mwambie chakula - TopicsExpress



          

Mama: Mwanangu hebu mpigie simu baba yako mwambie chakula tayari Mtoto: Sawa mama Mtoto: Mama simpati Mama: Bac subir kama baada ya dakika tano mpigie tena inawezekana ni mambo ya network hayo. (baada ya 5 mins) Mtoto: Mama mimi baba simpati simu yenyewe anapokea mwanamke. Mama: Kha! Sawa mwanangu niachie mm hili swala wewe nenda kale. (baada ya 30mins baba akabisha hodi akakaribishwa na bonge la kibao hajakaa vizur akapigwa sufuria mara mwiko ikawa balaa kwa kwenda mbele mme akazidiwa) majirani wakaja kuamulia ugomvi,kufka mme yuko chini ya sofa hoi bin taaban Mama"pumbavu zako wewe Kunifanyia mimi hivi unaenda kwa malaya zko kuniacha nyumbani?" Mwanangu ebu wambie majirani yule mwanamke alipopokea simu alisemaje? Mtoto: Alisema, "Samahani mteja wa nambari uliyopiga hapatikani kwa sasa" BABA ANAFAA AMFANYEJE BIBI SASA?
Posted on: Thu, 18 Jul 2013 07:47:02 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015