Mama: mwanangu hebu mpigie simu baba yako mwambie - TopicsExpress



          

Mama: mwanangu hebu mpigie simu baba yako mwambie chakula tayari. Mtoto: sawa mama Mtoto: mama simpati simu yenyewe anapokea mwanamke Mama: kha! sawa mwanangu niachie mm... Baada dakika 30 baba akabisha hodi akakaribishwa na bonge la kibao akapigwa na sufuria mwiko ikawa ni balaa Mama: pumbavu yaani unakwenda kwa malaya zako? mwanangu hebu mwambie mwanamke alipo pokea simu alisemaje? Mtoto: alisema simu uliyopiga kwa sasa haipatikani jaribu tena baadae...!
Posted on: Thu, 29 Aug 2013 04:31:46 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015