Man u nafikiri ferguson alisoma alama za nyakati vizuri kama - TopicsExpress



          

Man u nafikiri ferguson alisoma alama za nyakati vizuri kama alicho kifanya gurdiola Barcelona Timu aina moyo wa upambanaj tena beki inapata shock ikiwa inashambuliwa Forwad inapanic wakifiga golini kwa presha ya beki Ili timu irudi katika ile rotation yake Moyes hana budi kufanya mabadiliko makubwa Rio,Vidic,Evra, Giggs,Carrick, ni mda wao wakwenda Ligi ya Marekani kumaliza soka lao nguvu zao sio za kuwa Machester United tena Old Trafford umegeuka mahali pamateso tangu Nyasi mpya ziwekwe GGM Forever japo naumia @Chicolovebaby@
Posted on: Sat, 26 Oct 2013 15:03:09 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015