Manze God nichonge tena, nimake more stronger and sharper, this - TopicsExpress



          

Manze God nichonge tena, nimake more stronger and sharper, this industry lazima nipenye, life imekuwa smaller stiffer na harder lani naskia nothing haiwezi fanyika na bila a doubled edged sword yakoyaz, nioshe macho so i can see brighter, nipe night vision nisinyemelewe na ma creeper, bless ma heterz wangu wote coz bila them singeona life hivi, shikilia kaziyangu ichunge izae watoi fresh ma little Katless, manze thank you to sana for ma life, nimeshukuru tusana mahali umenitoa na nitakufuata all ma life jah kwani you the highest na hakuna mungu yeyote kama wewe! bless, Amen
Posted on: Sun, 23 Jun 2013 07:51:41 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015