Mbeya FC vs Yanga. Yanga na Simba ni majina tu,na fitina za nje - TopicsExpress



          

Mbeya FC vs Yanga. Yanga na Simba ni majina tu,na fitina za nje ya uwanja,mpira uko mikoani bhana. Ndio maana kandamili wanakataa deal la Azam ili waendelelee kutawala,na hizi timu za wananchi wa kweli zipotee.Nasikitika kwa kutoshana nguvu na Yanga. Kinachoumiza ni huu utumwa na ukoloni uliotujaa vichwani mwetu.Unatokea Mbeya,unashabikia Yanga au Simba na unasaidia kuhujumu timu ya nyumbani.Huu ni umbulula.
Posted on: Sat, 14 Sep 2013 17:22:48 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015