Mbinu za uandishi katika Tamthilia "KOFI YA GHAFLA" 1.TANAKALI ZA - TopicsExpress



          

Mbinu za uandishi katika Tamthilia "KOFI YA GHAFLA" 1.TANAKALI ZA SAUTI-alichapwa kofi pa! 2.TAKRIRI-Shebesh anarudia maneno "kidero, u slapped me?" na pia kilio chake cha "ayayayayayayaya" 3. KINAYA-kidero anadai kutomchapa shebesh kofi. 4. KISEGERENYUMA- kidero anajaribu kuyakumbuka matukio yote siku hiyo. Hata hivyo anakana kumzaba shebesh kofi. 5. SADFA- Shebesh anachapwa siku moja tu baada ya shahibu wake mike sonko kumtukana caroline mutoko. MAUDHUI ukatili/unyama shebesh kuvuta na kusongoa sehemu nyeti za bw. Kidero. *bm
Posted on: Tue, 10 Sep 2013 13:23:51 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015