Mdau wangu Mdude Chadema Nyagali anasema........ SIJAFURAHISHWA - TopicsExpress



          

Mdau wangu Mdude Chadema Nyagali anasema........ SIJAFURAHISHWA NA KITENDO CHA WAZIRI MWAKYEMBE CHA KUWAFUKUZA WATU KAZI KATIKA UWANJA WA NDEGE WA JKIA KWA KURUHUSU KUPITISHA MADAWA YA KULEVYA AMBAYO YALIKUWA YA MTOTO WA RAIS NA BINAMU YAKE JE HAWA WAFANYAKAZI WANGEKATAA KUPITISHA MADAWA HAYA YA WATOTO WA VIGOGO HAWA INGEKUWAJE KWAO? HILI SAKATA LINAFANANA NA LILE LA EPA BADALA YA KUWAKAMATA WATUHUMIWA WAKUBWA WA EPA WAKAENDA KUKAMATA VIDAGAA AMBAO WALITUMIKA KAMA PUNDA NA KUFUNGULIWA MASHTAKA MAHAKAMANI HUKU WATUHUMIWA WAKUBWA WAKIENDELEA KULA RAHA MTAANI KUFUTA UNAFIKI TUNAOMBA MWAKYEMBE KWA DHAMANA YAKO WACHUKULIE HATUA HUYO MTOTO WA RAIS NA BINAMU YAKE USIWAOGOPE KWA KUWA NI WATOTO WA VIGOGO HAWATAMBULIKI KIKATIBA HAPO NDIPO UTAONEKANA SHUJAA NA SIO KUFUKUZA KAZI WATU AMBAO WANATUMIKISHWA KAMA PUNDA NA WATUHUMIWA.
Posted on: Thu, 22 Aug 2013 06:57:01 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015