Mfalme Mswati wa Swaziland anatarajiwa kufungua maonyesho ya 37 ya - TopicsExpress



          

Mfalme Mswati wa Swaziland anatarajiwa kufungua maonyesho ya 37 ya biashara ya kimataifa Julai Mosi mwaka huu katika viwanja Vya maonyesho ya biashara vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam. Kaimu mkurugenzi mamlaka ya maendeleo ya biashara Tanzania-Tantrade- Bibi Jaquline Maleko amesema nchi zipatazo 32 zenye makampuni 400 zinashiriki katika maonyesha hayo, makampuni ya ndani elfu moja na mia 6 pamoja na wizara na taasisi sabini zinashiriki katika maonyesho hayo.
Posted on: Sun, 30 Jun 2013 18:46:53 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015