Michezo na Burudani Usiku Huu Alhamis ya Novemba 28, kuanzia saa - TopicsExpress



          

Michezo na Burudani Usiku Huu Alhamis ya Novemba 28, kuanzia saa 20:30 - 21:15,Nami Boazy Zobanya *****CECAFA CHALLENG KULE KENYA,….STARS YATOA SARE NA MABINGWA WA AFRIKA,NA BURUNDI YAILAZA SOMALIA TANZANIA YAKWEA MATAWI YA MATATU VIWANGO VYA UBORA VYA FIFA MWEZI HUU,…..HISPANIA BADO YAZIDI KUBAKI KATIKA NAFASI YA KWANZA KOMBE LA DUNIA KUTUA KESHO, RAIS KIKWETE ATARAJIWA KULIPOKEA JIJINI MWANZA ……………………………….kimataifaaaaaa!!!!!............................. MAN UNITED YAFANYA MAUAJI YA KUTISHA LIGI YA MABINGWA, YAWAPIGA WAJERUMANI NYUMBANI KWAO, REAL MADRID YAENDELEZA UBABE ULAYA BILA RONALDO, BALE ATOSHA KABISA AVB APUUZA WA UVUMI WA HABARI ZA KUTIMULIWA KUFUATIA KIPONDO CHA 6-0 TOKA KWA MAN CITY!
Posted on: Thu, 28 Nov 2013 17:22:39 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015