Mikutano ya Mabaraza ya Katiba ya Wananchi: Updates Tupo Geita: - TopicsExpress



          

Mikutano ya Mabaraza ya Katiba ya Wananchi: Updates Tupo Geita: tushiriki baraza la wazi la katiba uwanja wa Magereza kata ya Kalangalala muda huu tukiwa tumetokea Mwanza. Kakola/Bulyanhulu, tutafika kwenye saa 6 unusu. Mwenyekiti Mbowe anamalizia kuhutubia mkutano wa Geita. Kuna mvua kubwa sana hapa sasa. Bukombe: tutarajieni kuanzia saa 8 unusu, nitaendelea kuwapa taarifa kwa kadiri tutavyokaribia kumaliza mkutano wa Msalala. Chato: Ceteris peribus tutakuwa huko saa kumi kasoro jioni. Baraza lenu la katiba litaanza saa 7 mchana, toeni maoni huku mkitusubiri. Shime Tujitokeze kushiriki. Maslahi ya Umma Kwanza!
Posted on: Fri, 16 Aug 2013 09:49:29 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015