Mimi na shindwa na watu...sasa Nani asha wambia eti nilimpatia - TopicsExpress



          

Mimi na shindwa na watu...sasa Nani asha wambia eti nilimpatia Felix Odwali Gari yangu ya lexus na sasa nataufa gari ingine na sitaki kuspend less than 45milion...? Leo asubuhi ndiyo napata simu kutoka kwa Calistus Wangoma akiniuliza mbona niliamua kubomoa ile nyumba yangu yenye nilianza kujenga nyumbani worth 8.5million.... kitu inanishangaza sana ni venye alijua eti nilimlipa tu huyu contracta pesa zote ingawa hakumaliza kazi. Ndiyo ni ukweli hata inconvenience fee nilimplipa, lakini mbona mtangaze mtu hivo jameni..... Mimi napenda kuwa veri private. Saa hii nafika town Anyango Ogara asha nipigai simu eti oooh...uko kwa bank....mara oooh nasikia unajenga mansion ya 105 million.....Jameni....Last week Okello Hudson alinitumia sms akiniwish all the best nikienda SEYCHELLES for August Holidays...na akiaanza kuniadvice ni punguze my daily spending budget from 1050 dollas a day to hata kitu kama 800dollas.....swali langu ni mbona mnapenda kutangaza wenzenyu jameni....cant an innocent young man have his privacy for once....Sasa Gilberto Silva Okwemba ....asha anza kuwatangazia .....venye nilipewa job offer na campuni moja.....huko sweeden na my staring salary ila faa ikuwe 3.8 million minus allowences na nika kataaa.....Wacheni kunitangaza jameni....huo si ungwana
Posted on: Wed, 10 Jul 2013 09:16:47 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015