Mimi naitwa D niko Moro, ninampenzi wangu ambaye nampenda sana ila - TopicsExpress



          

Mimi naitwa D niko Moro, ninampenzi wangu ambaye nampenda sana ila kunashida moja imeanza kujitokeza nayo sio ya kawaida. Ni miaka minne sasa tangu niwe nae kimapenzi na matarajio yetu ni kufunga ndoa mara baada ya kumaliza masomo yake. Miezi kadhaa iliyopita tabia yake imekuwa ikibadilika na siku moja nilikamata sms za wanaume wawili kwenye simu yake, sms hizo zote zilikuwa zikimtaja yeye kama mke yaani kila mmoja kamuita mkewake, niliumia sana kwani hiyo ilikuwa first time kumfuma tangu niwe naye. Wiki iliyopita nimemfuma akiwa na moja ya wale wanaume ambao nilifuma sms zao wakitoka gesti asubuhi na mapema ambapo usiku huo wote simu yake ilikuwa haipatikani, nilimbana kwa kuuliza maswali kadhaa akakiri kuwa alikesha na yule jamaa na nilimsamehe kwa kuwa sikujua cha kufanya kutokana na upendo wangu kwake. Baadaye nilifanya naye mapenzi siku hiyohiyo niliyomfuma kwa kuwa nilikuwa sijatombana naye kama mwezi mzima na hivyo ikaniuma kuona jamaa anakula kilaini wakati mimi na msubiri amalize skul. Sasa leo nimeona dalili za mimba kwake, matiti yake yamevimba na anadai chuchu zinawasha na tumbo limekuwa likimuuma mara kwa mara, nahisi nitabambikiwa mimba muda si mrefu, hebu nisaidieni jamani mimi bado nampenda lakini hali inazidi kuwa tete. Nifanyeje? D"
Posted on: Thu, 20 Jun 2013 03:51:13 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015