Mimi nina miaka 28 na nina mpenzi wangu wa miaka 24 kwao ni - TopicsExpress



          

Mimi nina miaka 28 na nina mpenzi wangu wa miaka 24 kwao ni eldoret na kwetu ni kakamega, japo tulikutania nai kikazi. sasa usiano wetu ni wa mwaka 1 unusu, sasa ana ujauzito wangu wa miezi miwili na tumepanga kuoana disemba mwaka huu. sasa tulikaa tukaongea kama watu wazima kuwa ni bora wazazi wangu na wake wawese kujua ili tusije baadae kupata shida. Sasa nimepigwa na butwaa na stress kibao kichwani mwangu, last wikiendi tulienda hadi kwao ili inijulishe kwa wazazi wake lkn nilishangaa sana kumuona mamangu mzazi ndiye mama wa huyu binti, sababu mamangu alinipata mie akiwa bado shuleni sasa mm nlilelewa na shosho wangu wa kuzaa babangu, sa kitu kilichonya mi kumpenda huyu binti sana amekuwa mwaminivu kwangu katika huu mda wote ila hatukuwa tunajuana kama cc ni mandugu wa tumbo moja. sasa kweli nimeshindwa la kufanya nikikumbuka upendo aliokuwa akinipa na jinsi alivyo kuwa ananipenda...sa kweli niamueaje jamani ju staki wengine mimi ni #MOSES wa nairobi.
Posted on: Sun, 13 Oct 2013 15:01:46 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015