Mkurugenzi wa sheria na katiba wa Chama cha demokrasia na - TopicsExpress



          

Mkurugenzi wa sheria na katiba wa Chama cha demokrasia na maendeleo Mh. Tundu lissu amesema mgongano wa katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 na katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 inayompa madaraka rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ya kuwa amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama na rais wa serikali ya mapinduzi Zanzibar kuwa kamanda mkuu wa vikosi vya idara maalum, ni viashiria vya kuvunjika kwa muungano na hatari inayoweza kulipeleka taifa katika vita iwapo itatokea viongozi hao wametofautiana misimamo.
Posted on: Fri, 23 Aug 2013 16:22:04 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015