Mmama mmoja alienda kwa mganga ili apatiwe dawa ya kutibu tabia ya - TopicsExpress



          

Mmama mmoja alienda kwa mganga ili apatiwe dawa ya kutibu tabia ya mumewe kutoka nje ya ndoa, Mganga: Mama niletee kucha za Simba na yale manywele yake.. Baada ya siku mbili yule mama akaenda porini akamsaka simba na akapata vile vitu akaenda navyo kwa mganga Mganga akashtuka, akasema mama kama unaweza kuleta hivi vitu bila Simba kukudhuru, Unashindwa nini kumdhibiti mumeo? Ebu nenda huko usiniletee usiku hapa! UJUMBE: JIKUBALI, UNAWEZA!
Posted on: Tue, 25 Jun 2013 14:46:59 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015