“Mpigie Mungu kelele za shangwe, nchi yote, Imbeni utukufu wa - TopicsExpress



          

“Mpigie Mungu kelele za shangwe, nchi yote, Imbeni utukufu wa jina lake, Tukuzeni sifa zake. Mwambieni Mungu, Matendo yako yatisha kama nini! Kwa ajili ya wingi wa nguvu zako, Adui zako watakuja kunyenyekea mbele zako.” Zaburi 66:1-3. Za Jumatatu mpendwa? Ni siku nyingine tena ya kujitambulisha na kikundi cha sala wiki hii ya 20. Je! Unawakumbuka wenzako wa kikundi kwa maombi? Kaka Billy ndani ya Bustani ya Waumini hadi nne kamili. Tumsifu Yesu Kristu…
Posted on: Mon, 19 Aug 2013 16:00:00 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015