Mrembo alipokea simu ngeni na mambo yalikuwa kama hivi: Simu: - TopicsExpress



          

Mrembo alipokea simu ngeni na mambo yalikuwa kama hivi: Simu: Hellow una boy friend? Mrembo: Ndio nine. Kwani we nani? Simu: Mimi baba yako. Kumbe una boy friend ukirudi utanitambua. Simu ikakatika akiwa na mawazo nini afanye. Simu ikaita tena kwa namba ngeni. Simu: Hello una boy friend? Mrembo: Hapana sina! Simu: Vipi mpenzi ina maana unanisaliti? Mrembo: Hapana BABY nilijua baba! Simu: Ni mimi baba yako nilitaka kuhakikisha tu kama kweli una boy friend. UTANIKOMA LEO!
Posted on: Mon, 23 Sep 2013 20:36:25 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015