Msikilizaji wa rfikiswahili, karibu kwenye matangazo yetu ya leo - TopicsExpress



          

Msikilizaji wa rfikiswahili, karibu kwenye matangazo yetu ya leo asubuhi, tarehe 4 ya mwezi November mwaka 2013. Miongoni mwa habari utakazozisikia asubuhi hii, ni pamoja na Umoja wa Mataifa wasema utaendelea kuwasaka wapiganaji wenye silaha mashariki mwa DRC. Wataalamu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa waitaka Serikali ya Kenya kuachana na mpango wa kupitisha sheria mpya ya vyombo vya habari. Na maandamano zaidi yashuhudiwa nchini Ukraine wakati huu upinzani ukishindwa kwenye jaribio lake la kupitisha kura ya kutokuwa na imani na Serikali. Tembelea tovuti yetu ya rfikiswahili kwa matangazo ya moja kwa moja. Mtangazaji wako asubuhi hii ni Emmanuel Makundi.
Posted on: Wed, 04 Dec 2013 04:26:53 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015