Mtangazaji maarufu wa kipindi cha michezo na taarifa ya habari ITV - TopicsExpress



          

Mtangazaji maarufu wa kipindi cha michezo na taarifa ya habari ITV na Radio One, Kitenge Maulid Kitenge kwa kupitia mtandao wa Instagram na Twitter ametangaza kugombea ubunge jimbo la Ubungo kwa tiketi ya CCM. Kitenge anakuwa miongoni mwa watu maarufu na wasanii waliotangaza nia hiyo kama Soggy Dogg Hunter (CHADEMA, Segerea) na Afande Sele (CHADEMA, Morogoro). Aidha, kuna tetesi kuwa huenda wasanii MwanaFA (CCM) na Prof Jay (CHADEMA) wakatangaza nia bila kumsahau msanii wa Bongo movie Ray Kigosi. Endelea kusoma zaidi hapa --> j.mp/18bbtTj
Posted on: Mon, 24 Jun 2013 18:23:59 +0000

Trending Topics



ght:30px;">
Pewter Cat or Dog Photo Frames, FREE POSTAGE AUSTRALIA
The enemys greatest deception is to make Christians think were
So, Ive pretty much been working for over 24 hours now - which

Recently Viewed Topics




© 2015