Mume wangu amenichanganya sana, siwezi hata kuwaza mambo mengine - TopicsExpress



          

Mume wangu amenichanganya sana, siwezi hata kuwaza mambo mengine ya msingi, namuwaza yeye tu, nawaza nafika mwisho bila kupata suluhu, ndio maana ninaomba ushauri wenu Hivi karibuni tukiwa njiani kwenda kazini, akaniambia kuwa ameota anafanya mapenzi na mwanamke mwingine, (alinitajia jina la huyo mwanamke, ni mtu ninaemfahamu vizuri sana, tena mimi na huyo mwanamke wala hatuivi, kutokana na kuwa na mdomo mchafu sana, Sasa nashangaa na kujiuliza 1. Kwanini amuote yeye na asiniote mimi??? 2. Kwanini aniambie ndoto ya kipuuzi kama hii? 3. Aliniambia ili iweje 4. Ingekuwa mimi ndio nimwambie yey enimeota nafanya mapenzi na mtu anemfahamu ingekuwaje? Wadau naombeni ushauri wenu, ni jambo dogo bila kutafakari, ila ukilitafakari … inauma sana, ushauri please!!!! SHARE NA WASHKAJ WAJANJA #SNWW
Posted on: Sat, 28 Sep 2013 10:14:52 +0000

Trending Topics



"sttext" style="margin-left:0px; min-height:30px;"> 784. "As Seneca protested, Romans saw the turning of a man into a
Aslam o alikum. ...manahil my sweet sweet sister I am very sorry
★★★★★ ✔THESE $250 PAYMENTS DONT STOP!
This is not the time to fall into temptation, lose hope or give
Samsung GALAXY S IV I9500 Harga: Rp 3.000.000 Call/Sms: 0823
New Jeanne Two Dress (14, Shibori Leaves Navy) RLLM0WKKX Dresses
HOW MORGAN LOST THE PLOT PART ONE IF ANY indication was needed
I really dont know wat ma mom will do without me. She stormed

Recently Viewed Topics



**

© 2015