Mungu ametupa neema ya kuiona siku nzuri ya leo. Ametujalia afya - TopicsExpress



          

Mungu ametupa neema ya kuiona siku nzuri ya leo. Ametujalia afya na nguvu njema. Ninakukumbusha Mtanzania mzalendo mwenzangu, usisahau kuiombea Tanzania na kuitakia amani na mafanikio. Waombee viongozi wetu Mungu awape moyo wa upendo na huruma kwa Watanzania, ufisadi na dhuluma isiwe sehemu ya maisha yao. Neno la Mungu toka 1Mambo ya Nyakati 7: 14 Ikiwa watu wangu walioitwa kwa Jina langu... likuongoze kuiombe nchi yako. Mungu akubariki sana, Mtanzania, Mzalendo mwenzangu
Posted on: Sun, 10 Nov 2013 06:12:13 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015