Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM(UVCCM) Ndugu Sadifa pamoja na - TopicsExpress



          

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM(UVCCM) Ndugu Sadifa pamoja na makada wa umoja huo walitamka kwamba kama Rais na Mwenyekiti wa CCM Ndugu jakaya Kikwete hatasaini Muswada wa Marekebisho ya Katiba,Watampinga.Sasa ni Masaa zaidi ya 15 Tangu Rais atoe kauli ya kuwa Tayari Kujadili suala hilo kuliko kukabiliana na Maandamano ya upinzani.Vijana hawa wapo kimya.Hawasimamii kauli zao,ni toothless! Hawajampinga Rais kama walivyoahidi,ni vijana wanaosema bila kufikiri na hawana ujasiri wala uwezo wa kusimamia wanachoamini.Kama kauli zao tu hawawezi kuzisimamia wataweza kweli kusimamia ajenda za vijana nchi hii?Wengine wameanza kumuona JK kuwa ni Mfuasi wa CHADEMA,Wanatoa matamko yasiyo rasmi huku kwenye blogs na kumvisha Kombati(Tazama Pichani) ,Ha ha ha! Well,Rais kukubali kuwa Marekebisho yanayotakiwa na hoja za Muungano wa Upinzani zinajadilika na serikali ipo tayari ni hatua nzuri. Ila pia Rais atumie busara anapoongea kwenye vyombo vya habari badala ya kutoa mipasho na kusutana.Kauli za kumuita Tundu Lissu kuwa ni mnafiki,Muongo na Mzandiki ni kauli zinazomshambulia Mtu badala ya kushambulia hoja.Ni kielelezo cha mtu aliyetumia Emotions badala ya Logic na Intellectualism.Ni Ishara ya Kushindwa na hofu iliyopitiliza.Mipasho hii haistahili kutoka kwa mkuu wa nchi Unafiki ni Relative term.Hata yeye anaweza kuwa Mnafiki maana kama Mswada hauna makosa inakuaje akubali wakae na kuyazungumza kama ilivyokua mwaka 2012 ambako walikaa na kurekebisha makosa?Sioni Tafsiri nyingine ya neno Unafiki zaidi ya huu Mipasho na kusutana katika hotuba ile ni kielelezo cha kukosa umakini kwa Rais Mwenyewe na Kurugenzi ya Mawasailiano Ikulu.Mipasho ile haikua na Tija.Rais anawafundisha wananchi wake anaowaongoza kupasha na kusutana badala ya kutafuta suluhisho kistaarabu.taifa la Mipasho! Siyo Sifa ya Taifa kubwa,Sio sifa ya Kitanzania As many people have said: JK’s statement is, pure and simple – “uncivilized, unTanzanian and unacceptable”. It does nothing for the people of Tanzania and in essence it reduces a respectable Presidency to tokenism. Moreover, as a leader of the highest office in the Land, I don’t think it is wise to engage in a war of insults or name-calling. The Office loses respect when its leaders do that. In fact discussing such a low blow, ‘happy-hour’ lose talk is even disgusting. Aaaah!
Posted on: Sat, 05 Oct 2013 06:41:56 +0000

Trending Topics



stbody" style="min-height:30px;">
Mens SVintage Silver Dial Black Polyurethane Invicta

Recently Viewed Topics




© 2015