My Facebook Family,Baada ya kumaliza kusoma mfululizo vitabu vipya - TopicsExpress



          

My Facebook Family,Baada ya kumaliza kusoma mfululizo vitabu vipya na hotcake katika soko la vitabu kwa wanasiasa vilivyochapishwa late 2012 yaani "The Price of Politics" by Bob Woodward na "The Victory Lab:The Secret Science of Winning Political Campaigns" by Sasha Ensenberg sasa narudi nyumbani . Tafadhali naomba yeyote mwenye kopi hii ya vitabu vilivyokatazwa aniazime. Vimepigwa marufuku ndiyo,lakini mimi navitaka na nina hamu ya kuvisoma zaidi kwa vile vimekatazwa. ... 1:THE DARKSIDE OF MWALIMU JULIUS NYERERE 2: THE PARTNERSHIP 3:MWEBECHAI KILLINGS 4:KANISA KATOLIKI NA SIASA ZA TANZANIA CHA PADRI DR JOHN SIVALON Kwa wale Fans wa Page ya Respicious Francis tukutane pale saa 2 Usiku. Wao wanaongeza maarifa ya siasa chafu na Majungu,Since ni Nondo za kutisha tu.Muda ukifika lazima wakae. My love always ! ! !
Posted on: Tue, 16 Jul 2013 14:58:45 +0000

Trending Topics



explores how

Recently Viewed Topics




© 2015