My take kwa uchunguzi wa bomu hili unavyoendelea; >Uchunguzi huu - TopicsExpress



          

My take kwa uchunguzi wa bomu hili unavyoendelea; >Uchunguzi huu unazunguka tu wagonjwa na viongozi wa chadema >Hii ni dalili kubwa kwamba huu sio uchunguzi bali ni jitihada za kuficha uhalifu, >Huwezi kusema tukio limetokea toka juzi na hadi leo polici wanahangaika kutafuta wagonjwa na wabunge kuwapeleka mahakamani, wakati mhalifu wanamjua vizuri na ni kipenzi chao. >Bora turudishe jeshi la sungusungu, hili linaweza kuwa na nizamu zaidi. Arusha morani wanatosha kuilinda. Hakuna haja ya kuwa na chombo cha umma kinachofanya kazi ya kuua watu huku viongozi wakubwa kama waziri mkuu akishangilia kwa kazi njema YA UUAJI INAYOENDELEA KUFANYIA HAPA NCHI. >Je kwa kauli ya Pinda, nyuma ya pazia yawezekana jamaa wanaandaa promotion ya aliyemaliza kazi aliyotumwa huku wakijishughulisha kumlinda asifahamike? MY TAKE" na sisi tumechoka kuuwa na polisi bila sababu....tukiona tumeonewa na vyombo vya ulinzi na sisi tuwatandike mitaani.naona heshima itakuwepo..mana hakuna utawala wa Sheria ni ngumi kwa ngumi tu" KAULI YA PINDA KUHUSU SWALA LA BOMU ARUSHA HAINA WEREDI.Pinda kama waziri mkuu huwezi kuto majibu mepesi kwa maswali magumu.Mheshimiwa huyu wakati wakujibu swali bungeni kuhusu bomu la arusha alisikika akisema "CHADEMA WALISEMA KUWA NCHI HII HAITATAWALIKA HIVYO YAWEZEKANA NDO WANATEKELEZA AHADI YAO" Haya ni maneno mepesi kusema lakini tafakuli yake ni ngumu sana,kwani maswali mengi yanaibuka hapa. Sasa kama ni kweli CDM wanatekeleza walichikiahidi Serkali ya kina pinda inashindwaje kupata ukweli wakati wanapo pa kwanzia?Hii ni kauli ya serkali yetu kupitia kwa waziri mkuu inaleta tafasiri nyingi na ngumu kwani kama CDM wanafanya uhalifu huu na SERIKALI ipo inashindwa kuchukua hatua basi sina budi kusema SERKALI imeshindwa kazi yake ya kuhakikisha usarama wa raia wake.Pinda fikiri kabla ya kutoa majibu yako mepesi.
Posted on: Thu, 20 Jun 2013 23:49:33 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015