NAJIVUNIA KUWA MKIKUYU SABABU 1. Sijawahi ambia mtu keep change 2. - TopicsExpress



          

NAJIVUNIA KUWA MKIKUYU SABABU 1. Sijawahi ambia mtu keep change 2. Watu wakisherehekea mpira mimi najiulizanga hiyo uwanja inaweza toka plot ngapi? 3. Siwezi nunua Range rover kukiwa na Toyota......NEVER 4. Siwezi lipa choo kwa kanju afadhali ningoje hadi kwa nyumba... 5. Siwezi nunua nyama kama hiyo butcher ina matumbo 6. Siwezi weka simu airtime imezidi mbao ata ni vile bamba tano iliisha...Na wewe? 6. Siwezi enda ball dame yangu akiwa na ball 7. Siwezi peleka gari car wash kwangu kukiwa na maji
Posted on: Fri, 06 Sep 2013 12:05:35 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015